Unaweza kupata soft copy yake mkuu utuwekee hapa tukisomeModerator wa JamiiForums hii ihamishieni MMU huku iko misplaced!!! Kwanza mwanamke hatongozwi kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20 ukiitumia hyo hutowahi tongoza mwanamke na utawapata wa kutosha.
Nimekiweka mkuu soma post #15 kwenye uzi huu nmeattach pdf
poit of collection... hakuna danga au gold digger atakae kataa kwa utongozaji wa hivyo. . but women with their dignity huwapatii kwa hizo mbwembweMoja...kukukatia tiketi ya Ndege,hamna mdada wa kisasa atakaekataa kupanda dreamliner kukufuata popote,kama upo Kahama(mji wa starehe, unamuomba muende Mwanza kwa Ndege usiende mbali kuokoa gharama,au kama upo bongo una fly to Zanzibar or Mafia(hapo lazima u-win)
Mwisho..kuachiwa simu ya kawaida yenye Mpesa kiasi cha laki mbili...unamwachia simu Hiyo ya Mpesa unampa na namba ya siri unmpa go ahead akijisikia kutoa atoe,baada ya week ukiomba urafiki lazima u-win hata mwanamke awe mgumu kama kisiki(huo huitwa uchawi wa kizungu)
Instagram: kaukwaju
Wazazi ni wajibu wao kukusomesha na kukufungulia akaunti bank tangu tukiwa wachanga na si kutegemea watoto,watakachohitaji toka kwa Mtoto ni upendo siyo hela na kutunzwa uzeeni,kwa kuwa wanapaswa kuwa na akiba zao,sema Bahati mbaya nchi zetu zinazoendelea hakuna wa kumlaumu mzaziWakati huo wazazi wako kijijini wanashindia mihogo tafakari chukua hatua
Sent using Jamii Forums mobile app