Naona kama umenisema mimi!
Itabidi nijirekebishe sasa.............................LOL
Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL
teh! teh! teh! teh!Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL