FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Binafsi napenda aonyeshe kujali.
Wanaume tu viumbe tunaopenda 'changes' muda wote. Hatuwezi kutumia kitu kimoja (ambacho kwa jinsi kilivyokuwa jana, ndivyo kilivyo na leo, na hata kesho unajua kitakuwa vivyo hivyo). Hii ina maana kuwa kama wanawake watakuwa wabunifu katika mahusiano (kwa maana ya kufanya kitu kisizoeleke), basi wanaume hawana haja ya kwenda nje. Kwa nini ukatafute vitu vipya nje, tena mbali ilhali hivyo vipya unavyo ndani?
Wanawake wengi huwa wanakuwa wabunifu siku za kwanza za mahusiano (wanafanya kila kitu kipya). After a while, sijajua ni kwa nini, wanakuwa 'constant'.
Mfano; Upo katika ndoa. Mpangilio wa sebule yako uko vilevile kwa muda wa hadi mwaka (Unaweza hata kuichora sebule yako hata ukiwa mbali na nyumbani). Wanaume wakizoea hali hii, hawatatulia 'home' hata kidogo. Watatoa visingizio ili mradi tu aende hata kwa marafiki zao ili wakaone vitu vipya.
Mwisho: Umbile na uzuri wa nje, vyaweza kuwa sababu ya wanaume kutulia. Lakini si mara zote.
-Tafakari-
Kwangu mimi mwanamke hata akiwa na kilakitu(kakamilika)utashangaa nitataka kwenda kujaribu kilema nione naye anakipi?Nikiona vipi nawatafuta akina Semanya ili mradi nisipitiwe na ladha tuu!!Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10....
FL1
Kwangu mimi mwanamke hata akiwa na kilakitu(kakamilika)utashangaa nitataka kwenda kujaribu kilema nione naye anakipi?Nikiona vipi nawatafuta akina Semanya ili mradi nisipitiwe na ladha tuu!!
na wewe uwe mbunifu kwenye mapenzi usitegemee kubuniwa kila siku.Wanaume tu viumbe tunaopenda 'changes' muda wote. Hatuwezi kutumia kitu kimoja (ambacho kwa jinsi kilivyokuwa jana, ndivyo kilivyo na leo, na hata kesho unajua kitakuwa vivyo hivyo). Hii ina maana kuwa kama wanawake watakuwa wabunifu katika mahusiano (kwa maana ya kufanya kitu kisizoeleke), basi wanaume hawana haja ya kwenda nje. Kwa nini ukatafute vitu vipya nje, tena mbali ilhali hivyo vipya unavyo ndani?
Wanawake wengi huwa wanakuwa wabunifu siku za kwanza za mahusiano (wanafanya kila kitu kipya). After a while, sijajua ni kwa nini, wanakuwa 'constant'.
Mfano; Upo katika ndoa. Mpangilio wa sebule yako uko vilevile kwa muda wa hadi mwaka (Unaweza hata kuichora sebule yako hata ukiwa mbali na nyumbani). Wanaume wakizoea hali hii, hawatatulia 'home' hata kidogo. Watatoa visingizio ili mradi tu aende hata kwa marafiki zao ili wakaone vitu vipya.
Mwisho: Umbile na uzuri wa nje, vyaweza kuwa sababu ya wanaume kutulia. Lakini si mara zote.
-Tafakari-
Mimi napenda mwanamke aliye mkarimu. Mwenye maadili yanayokubalika na jamii kwa ujumla (mainstream society). Mwenye maarifa ya kawaida (common sense). Anayejiheshimu na kuheshimu wengine. Mwenye hulka na tabia za kike (feminine). Haivutii hata kidogo kuwa na mwanamke anaye-act kama dume. Big turn off!!
I don't ask for much. Akiwa na sifa hizo tu mimi niko tayari to take the bad with the good.
Sifa zote ulizozitaja mimi ninazo sasa upo tayari??
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10....
FL1
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10....
FL1
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10....
FL1
Kuna baadhi ya wanaume ni viumbe vya ajabu, hata apate mwanamke mwenye tabia nzuri, sura nzuri, umbo zuri na elimu lakini bado atachomoka kwenda nje. Hivi viumbe kuridhika ipo tabu.
...mwanamke yeyote yule atayekuwa na sifa tofauti na mama watoto.
...i.e, hata mama watoto akiwa na sifa zote, mwanamke yeyote (iwe ni house girl, Barmaid, changudoa, secretary, co worker, hata intern kama Monika Lewinsky etc) almuradi mwenye sifa tofauti na mke, anavutia!
Habari ndio hiyo!
...hata kinywa kuna siku kinachoka nyama na kauzu, kinatamani ngogwe!
kwanini kuikalifisha nafsi bana?