Kuna baadhi ya wanaume ni viumbe vya ajabu, hata apate mwanamke mwenye tabia nzuri, sura nzuri, umbo zuri na elimu lakini bado atachomoka kwenda nje. Hivi viumbe kuridhika ipo tabu.
Mi bado tu sijapata mwanamke bora kama wewe nadhani hata ukiamua kunifuga is okay.Na je wanawake wanaotest nje nawao ikoje?
Sifa zote ulizozitaja mimi ninazo sasa upo tayari??
🙂 la jina lako noma kumbe sistaaa
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10.LIMBWATA
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa, Dada FL1 hilo muhimu ingawa wengi wataponda
Kila siku nakushaurigi uwe makini na hawa watu lakini huwa hunielewagi. Stuka mamii.
kwi kwi kwi
umeamkaje weekend yako iko namna gani??
Sijambo mamii, tatizo hangover. Vipi wateja wako Migomigo, hawajakuletea za kuleta? Hahahaha!
hee ndo naandaa thupu unaweza kukatiza hapa Chrispin leo natoa discount ya 20%
Hahaha! isije ikawa supu yako unaitia nazi? Supu yake ni ndimu na pilipili.
hapa kuna thupu iliyoenda school mwambie Nguli na Masanilo pia
Dah, mkuu ndo kuisha kwa mfungo ama nini..hebu taratibu na hizi 'kauli' tusije tukajikwaa bure!
Ukiona mwanamke anatoka nje ujue amevumilia vya kutosha hadi limemfika shingoni.
...binamu nimeudhiwa aisee, natoa donge langu humu! ...nisije nikazidiwa halafu nikafanya kweli buree... 😡
...hata wanaume hivyo hivyo mamie, Mumeo akianza kutoka nje jua amevumilia vya kumtosha, lishamfika shingoni...
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10....
FL1
...binamu nimeudhiwa aisee, natoa donge langu humu! ...nisije 'likanipalia' halafu nikafanya kweli buree... 😡
...hata wanaume hivyo hivyo mamie, Mumeo akianza kutoka nje jua amevumilia vya kumtosha, lishamfika shingoni...
nyie wanaume hamna cha uvumilivu wala nini
kuna mmoja hapo amesema anataka kutest kila mwanamke aona anakuwaje
Testing! Testing ni muhimu ili kukwepa ajali. Testing and Servicing.nyie wanaume hamna cha uvumilivu wala nini
kuna mmoja hapo amesema anataka kutest kila mwanamke aona anakuwaje
kazi ipo! asante FL kwa hii mada....mwanamke yeyote yule atayekuwa na sifa tofauti na mama watoto.
...i.e, hata mama watoto akiwa na sifa zote, mwanamke yeyote (iwe ni house girl, Barmaid, changudoa, secretary, co worker, hata intern kama Monika Lewinsky etc) almuradi mwenye sifa tofauti na mke, anavutia!
Habari ndio hiyo!
..Generalization hiyo, na hapo ndipo mnapokosea.... kosa dogo tu utasikia wanaume ndivyo walivyo,...
anyway si kosa lako, 'you are wearing different shoes from us!"