Mkuu ndo maana nachukia homeworks hadi leo....mi nimesoma primary zile za kina Kayumba, hakuna homework! Nimekuja kuzifahamia ukubwani...ndo maana hadi sasa napendaga kumaliza kazi papo kwa papo kiongozi....hakuna kusubiri...lol
Will try, Chrispin my waif wako huwa haji huku jamvini, hali ya hewa isije ikabadilika.
You have made my day mkuu. Ngoja nami nisepe nikawahi kaserengeti ka baridi. Watanimalizia watu.
Will try, Chrispin my waif wako huwa haji huku jamvini, hali ya hewa isije ikabadilika.
Nimefanya Chrispin ndio maana nikasema hayo, I didnt get the data out of blue.Umefanya research darling au umeamua tu kuimwaga hiyo data ili kuonesha uadui wako na maisha ya ndoa?
hahaha sawa kiongozi..naona Fidel leo sijui kaanzia huko huko kabisa....mimi leo ninzinywea ndani..nina homework nzito..u know what I mean....safe drinking!
Nimefanya Chrispin ndio maana nikasema hayo, I didnt get the data out of blue.
Congratulations, good boy.Lol! Huree. Ya kwangu iko kwenye hiyo 1 out of 10 iliyobakia.
Wapwa geoff, nguli na Fidel leo wako mitaa ya Baruti wanafanya kibarua cha kumtafuna mnyama. Kesho chama kitakutana Tegeta kukamilisha ratiba. Unakaribishwa kundini. Hahaha! Kweli enzi za primary ulikuwa hupendi homework..... Homework za ukubwani achana nazo.... Yaa I know what you mean. Hahahaha binamu sikuwezi. Eti safe drinking?! Usisahau kuvaa ile kitu kwa ulimi hahahaha! Guday pal.
Sifa zote ulizozitaja mimi ninazo sasa upo tayari??
Kumbe na nguvu za ziada zinahitajika π
Pole Mbu, ila i think i like your woman. haeheeee
...ha ha, acha maskhara bana... unavyomdhania yukoje, huenda siyo je?
Naam FL1, lakini nguvu hizo zisiwe za miti shamba, unaweza kumpa penzi la nguvu tu na kuonyesha kujali kwa kiasi cha juu sana na hatimaye kutimiza lengo lako.