Wanaume JF

Wanaume JF

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
639
Wanaume wooote wa Jamii Forum tukutane hapa kubadilishana mawili matatu na kujadili mambo yetu ya kiume,

NB: Wanawake nyie kuweni ma observers tu, Msichangie chochote humu
 
Wanaume wooote wa Jamii Forum tukutane hapa kubadilishana mawili matatu na kujadili mambo yetu ya kiume,

NB: Wanawake nyie kuweni ma observers tu, Msichangie chochote humu
Karibunii
 
kuhusu nini sasa we nawe mbona hueleweki
 
Ok
IMG_20190603_144832.jpeg
 
Story bile Ke hawachangii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauli mbiu yetu ni ile ile wanaume wenzangu, "Nitakuoa mwakani".

Hasanteni kwa kunisikiliza.
 
Tuwe na msimamo mmoja..Mahari haizidi 5M haijalishi unamuoa nani..
 
Back
Top Bottom