Wanaume JF

BADO NIPO BELOW 25, na demu wangu anahitaji nimuweke ndani

#kwa upande wangu nifanye nini ilihali nilijiwekea malengo ya nikiwa na at least na 30+ ndio niwe na mke rasmi?
 
Kuoa ukiwa below 25 ni kama kuondoka club saa nne usiku wakati wenzio ndio wanaanza kuingia.

Au mnasemaje wanaume wenzangu?
 
Wototo wote ni halali huu ni ubaguzi unaouleta na kuwa kichwa cha familia sio mpaka uoe unaweza ukaishi na watu ukawaongoza na kuwatimizia mahitaji yao kama familia na ukawa kichwa cha familia
Heshima kwanza unapata jamii inatambua kama wewe ni kichwa cha familia. Pili unapata watoto halali
 
Wototo wote ni halali huu ni ubaguzi unaouleta na kuwa kichwa cha familia sio mpaka uoe unaweza ukaishi na watu ukawaongoza na kuwatimizia mahitaji yao kama familia na ukawa kichwa cha familia
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…