arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
wengine misifa sana sasa unasema ili iweje au unawatuma na wao wakammege
.Habari zenu wana JF,
Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao
Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale alio yafanya na mpenzi wake chumbani hii inakua ni sifa aonekane rijali au ukosefu wamalezi?
Siku simuliwa mie kuna baradhuli moja hapa kazini lilikua linamuelezea mwenzie wanacheka anamwambia mwenzie demu anajipinda kuliko mshare,ndio nikaliona halina akili hata kidogo alipo kwenda kwenye office yake huyo aloelezewa anampigia cm yule msichana eti Duh ! shem nakupa hongera ulivyokua mjuzi kwenye mambo flani,yani kanikeraaaaaaaaaaaa!.
Wewe umejuaje kuwa wanasimulia? Kama ushasimuliwa si ungekanya huyo aliokusimulia?
Usihadaike na rangi tamu ya chai sukari, kichwa cha habari kimekaa vizuri wala hakija mtaja mtu au unataka kutueleza nini?ila kichwa cha habari kimekaa vibaya,ebu rekebisha_inakua kama wanaume wote vile,...halafu ni mashoga...uuuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuf