Wanaume kazi tunayo..

hapo ndo hapaeleweki kabisa, is it not sharing is caring anymore?

Mwenge umeacha kupita kila kijiji lini?

Mwenge?
Unapitaga wapi na lini?Mara ya mwisho kujali maswala ya mwenge nilikua na miaka minne.
 
afu wewe ujue mie natafuta kwa kuninunulia baby walker na nimekosa.

Nioneshe basi mganga wako.

Hii dizaini ya kwa mtogole, na kale ka-starlet aka baby walker sijui kama njia inapitika na mvua hizi,lol
 
nikiwabahatisha hawa huwa silembi..utapoteza bahati..unakuta mwenyewe mtamu kama supu ya kongoro mweee! Dhubutu!
 
Basi umenistua mwenzio.
Nimeona supu ya kongoro nikadhani supu ya kongosho

nikawaza mbona sijawahi chemshwa hata siku moja
dah umenstua sana

nikiwabahatisha hawa huwa silembi..utapoteza bahati..unakuta mwenyewe mtamu kama supu ya kongoro mweee! Dhubutu!
 
Hakuna msaada usio na malengo
 
Sasa Lizzy hapo issue ni kuwa na familia na watoto au jamaa kutaka kuliwa uroda through shida zake??
Angekuwa hana familia ndo akubali kutumiwa through problems??
 
Sasa Lizzy hapo issue ni kuwa na familia na watoto au jamaa kutaka kuliwa uroda through shida zake??
Angekuwa hana familia ndo akubali kutumiwa through problems??
Hehehehe vyote nadhani maana para ya kwanza inamuongelea huyu mwanamke jinsi asivyo mstaarabu na ya pili inasihi wanaume wawe na msimamo.
 
Nina uhakika waliolikubali/watakaolikubali somo ni wachache sana, wengine wanatamani hata wakutane na huyo mwanamke!!! Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…