Jamani Kibaha hadi Dar then nipeleke pale saloon na unajisahau kama umetoka kibaha!!....lol
Namaanisha yatupasa kuwa wavumilivu na tulivyonavyo kwani kama huna tafuta lakini tukumbuke tu nagharamikia kitu ambacho tayari tunacho!!Ndiyo maana unaweza ukaitwa ukiwa kibaha ukaenda kinondoni kufika ukaambiwa nataka unipeleke sinza unasahau safari uliyotoka!sasa sioni kwa nini tuangaike mpaka kiasi cha kijisahau!! nini maana yake wakati saa nyingine hicho kitu umekiifadhi!!leo kakakiiza umeamua.... haya heri inshallah sasa huyo aliekwambia umpeleke saloon mwengine eeh?? maana sijafaham kidogo yaani una mke lakini ukiona mwengine wamtamani ndio ulivyomaanisha au nimeelewa tofauti kidogo??
I may love.. but I love myself more....:A S 13:Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!
kimefanya nini? mi nijuavyo wanaume wengi tumetawaliiwa na tamaaKidubwasha kile mzee
Je akirudi anapewa nini??Utakuta anapewa X6 kwa mkojo wa dakika mamilioni yanadondoka!!Wanosumbuka ni watoto wa "gate" kali!
Wale ambao hamjatumia ujana wenu vizuri ndiyo mnahangaishwa na "vitobo"!
Janaume na akili zake (30+) linachukua mwanamke Dar es Salaam linampeleka Dubai kufanyanae zinaa! Huo ni uendawazimu outright.
Linasahau kuwa in principle "K**A usinyaa na kutanuka" and that is all!
Je akirudi anapewa nini??Utakuta anapewa X6 kwa mkojo wa dakika mamilioni yanadondoka!!
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!
Mapenzi kizunguzungu unajikuta unafanya mambo bila kufikira kwa wakati ule baadae ndo unaanza hivi ilikuwaje???