Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
miaka ya nyuma ilikuwa si jambo baya kumsikia mwanamuzi akiimba wimbo kwa nafasi ya mwanamke akimsemea kwa kuwa wanawake wengi hawakuwa waimbaji katika bands. mfano wimbo wa kassongo ni mwanamke anayelalamika juu ya mumewe ambaye alimtelekeza. haikuwa shida kwa miaka hiyo tulijua ni namna tu ya kufikisha ujumbe. zipo nyimbo kama "Mume wangu jerry" , "Talaka rejea " n.k sisi wazee wa miaka ile kwetu haikuwa changamoto tulijua tatizo ni nini. na tuliimba na kucheza bila shida.
Miaka hii limeibuka wimbi kubwa la wasanii wakidhani wanachekesha kuigiza kama wanawake na hali wao ni wanaume. kwa kweli huu ni upuuzi na inatia kinyaa, kichefuchefu na kutapisha unapoangalia kila unapobadili channel unakuta kuna kipindi kina wapumbavu kama hao wakiwa wamevaa nguo za kike na kujipodoa wakiigiza kama wanawake.
sisi wakati tunakua ilikuwa ni mwiko kwa mtoto wa kiume hata kushika wanja na lipstick. ni mwiko. mwanaume ulikuwa hutumwi na dada zako kuwaletea hivyo vitu kabisa. mimi nakumbuka siku moja nilimwashia moto sister aliniambia nimsadie kupeleka nguo ndani baada ya kuanua kumbe ndani yake kulikuwa na sidiria yake. wakati naziweka chini nikaona imedondoka. nilikasirika sana na kwenda kunawa mikono. nilimwambia mama ambaye alimfokea sana sister kuwa inakuaje ananishikisha sidiria zake. na ukweli mpaka leo mimi nilikuwa sijui chupi zao akina dada wanaanika wapi. pia sikuwa hata naruhusiwa kuingai room kwao baada ya kufika miaka kadhaa hivi.
leo hii vijana wanaona kawaida tu kuigiza kama wanawake. tena wana weka na pozi za kike kabisa. hili suala lilinifanya niliporudi TZ nikatae kuweka decoder ya Azam TV maana naona imejaa vipindi vingi vya kipumbavu. nikaja kuta hata DSTV nako hayo mataka taka yamekuja. basi nikapiga pin tu. hakuna kuangalia cartoons au michezo ya kiswahili na cinemas zote zenye mambo ya kipuuuzi. madogo wanaangalia vipind ambavyo nimechagua mimi.
lakini nadhani kuna sehemu kama taifa tunakosea na hatujajua bado kuwa tunakosea. why mwanaume uigize kama mwanamke? ni kuleta picha mbaya sana kwa jamii. na hapo inaanza kuleta hisia kuwa ooooh.... kumbe mwanaume anaweza kuwa mwanamke? lakini ni ishara ya vinasaba vya ushoga ndani yake. MWANAUME ANAYEPENDA KUIGIZA KAMA MWANAMKE MAANA YAKE ANAPENDA KUWA MWANAMKE SEMA BASI TU. ama sivyo huwezi mimi chizi maarifa ukaniambia niigize kama mwanamke. haitwezekana kamwe. na utaona tu ni ngumu sina pozi za kike na sitamani na nitashindwa.
nafasi hiyo mfundishe mwanamke ataigiza vizuri tu ibaki na uhalisia wake. yaani unaona mtu anashikwa makalio sababu anaigiza kama mwanamke anacheka tu au sijui nani aliwaambia ili mchekeshe basi igizeni kama wanawake. mnatia kinyaa sana na kichefu chefu.