Wanaume kuigiza nafasi za kike kwenye sanaa, inakwaza

Sawa. Kuna nafasi kwangu uje uigize kama mke wangu maana wazazi wanataka nioe mtanzania. Nataka nikakutambulishe kuwa we ndo mke wangu.
 
Mpaka kwenye maigizo ya kumbi za starehe. Wanaigiza kucheza wimbo wa kihindi halafu dume moja limevaa kama mwanamke na linanengua kabisa na kubebwa na mwanaume mwinzie, yaani aibu naona mimi.
 
Na Mbaya Zaidi Wanapewa Deals Na airtimes Na Wanaume Wenzao.
 
Sawa. Kuna nafasi kwangu uje uigize kama mke wangu maana wazazi wanataka nioe mtanzania. Nataka nikakutambulishe kuwa we ndo mke wangu.
Ulisikia wapi Vishu Mtata akawa muigizaji??

Mimi naimba na nina ngoma yangu kuna kipande ilipaswa aimbe Zuchu ila yuko busy, njoo wewe uweke sauti yako ukumbushie enzi zenu.
 
Ulisikia wapi Vishu Mtata akawa muigizaji??

Mimi naimba na nina ngoma yangu kuna kipande ilipaswa aimbe Zuchu ila yuko busy, njoo wewe uweke sauti yako ukumbushie enzi zenu.
Wewe upo tumika badala ya zuchu sasa. Na kwa kuwa mimi ninataka mtu abehave kama mke na umesema upo vizuri karibu
 
Wewe upo tumika badala ya zuchu sasa. Na kwa kuwa mimi ninataka mtu abehave kama mke na umesema upo vizuri karibu
Sina hiyo sanaa ya uigizaji..

Wewe si ndie uliethibitisha kua mlikua mnaruka majoka na kuimba hizo nyimbo bila shida?? Au ushasahau ulichoandika babu??
n.k sisi wazee wa miaka ile kwetu haikuwa changamoto tulijua tatizo ni nini. na tuliimba na kucheza bila shida.
 
Sina hiyo sanaa ya uigizaji..

Wewe si ndie uliethibitisha kua mlikua mnaruka majoka na kuimba hizo nyimbo bila shida?? Au ushasahau ulichoandika babu??
Sijasahau bibi. That was then and this is now. Haya naambiwa huko kwenu ni usiku. Usiku mwema.
 
"roho" ya ushoga imetamalaki. Shetani yuko kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…