Wanaume kuitwa "Buzi" ni sawa lakini wanawake kuitwa "Chura" nomaaa.

sbikore

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
535
Reaction score
191
Wa humu habari zenu!!!

Binafsi nazidi kushangazwa sana na hizi haki hasa kwa akina mama.

Licha ya wanaume kuitwa mabuzu kwa miaka mingi sana haijatokea hata mara moja kauli hiyo kupigwa marufuku.Mambo yameendele na hata kina mama kuhalalisha kabisa mavaz ya akina baba na wasionekane wenye mapungufu,ila kwa mwanaume ukivaa japo gaun basi ww mwehu.


Sasa msemo mpya wa "chura" utaenda na watu.

Hivi hizi haki ni kwa akina mama tu!?
 
Wanawake ni viumbe adimu na dhaifu. Wapo ktk orodha ya CITES ya viumbe waliohatarini kupotea duniani hivyo lazima walindwe
 
Yeyote atakaye vaa mavazi kinyume matakwa ya wananchi au jamii anastahili jini hilo.

Chura ni jini.

Sent from my E6553 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…