Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Wanaume wote wanashauriwa wapime vyote kabla ya ndo. Hiv na mimba pia ili msibambikiwe aise.
Kuna dume moja, alikaona kabinti akakapenda na kupima hiv tu na kukaoa haraka haraka. Madada zake shamla shamla, wakakopa kwa ajiri ya harusi ya kaka yao mpendwa. Harusi la nguvu likapita, heheh. Ilipo bainika kuwa bi harusi anamimba ya miezi 3 ya mtu mwingine, tayari kajaa chumbani kama njiwa anaetaka kutaga vile, aise. Rafiki kipenzi chake bi harusi, akamshtua bwana harusi kuwa kanasa mtegoni. Bi harusi kakutwa na mimba ya miezi 3, ndoa imekufa. Mawifi wamechachamaa na kushauri makaka wote wapime hivi na mimba pia kabla ya ndoa. Na mabinti muache kubambikia vijana wa watu mambimba, hata aibu hamuoni😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller: