Una utajiri kiasi ganiHatukubali uchakachuaji huu, jina langu halimo?? [emoji87] [emoji107]
Cairo's
Hahahahaaa! Ukimcheki GuDume avatar yake tu ni lazima ukubali kuwa ni "the big potato" wa JF! Bilionea yule!
wewe jamaa watakuoiga ban. hii thread i[peleke chit chat ama kwenye jukwaa la jokes
Wa akili na uhai [emoji23] [emoji120]
KumbeHahahahaaa! Ukimcheki GuDume avatar yake tu ni lazima ukubali kuwa ni "the big potato" wa JF! Bilionea yule!
ooh nilikuwa sijaona.Umerushwa mkuu
Niliweka ikafutwaungetuwekea na source ya utajiri wao...na mali wanazomiliki.
Sipajuiwewe jamaa watakuoiga ban. hii thread i[peleke chit chat ama kwenye jukwaa la jokes
"Hekezaktrii! "
[emoji23] namie nakuja uniassistooh nilikuwa sijaona.
kumbe ndio maana pm yangu imejaa ghafla