Anaweza akawa rijali na anauwezo wa kuzalisha mwanamke lakini akawa na homoni za kike,lakini wengine wanafuata mkumbo wa ushetani ulioko duniani hivi sasa!!sasa huyo uliemfafanua hapo umemuweka kundi la lijali huyo sio lijali.
Anaweza akawa rijali na anauwezo wa kuzalisha mwanamke lakini akawa na homoni za kike,lakini wengine wanafuata mkumbo wa ushetani ulioko duniani hivi sasa!!
Kuna wanaume wengi tu (straight )
Wanaweka/vaa make up mfano
Asilimia kubwa ya TV presenters, actor,
Singer .. si kila awekae make up ni gay...
Na kuna gay wengi tu hawaweki make up...
Dah jana niliangalia movie ya Pretty Teacher ya Mr Blue....dah jamaa kama shoga, nywele zake sasa, poda, ring za masikio, cheni za mikononi, cheni za kwenye majinzi, mchubuo...really sucks!!
Yap!Uwezo wa mtu kufanya ngono unaweza ukawepo wakati huohuo na yeye akawa anaingiliwa,hii tabia ya vijana kuyafanya wanayotakiwa kufanya wanawake ikiwepo kujiremba ni laana na ujinga pamoja na utumwa wa akili!kweli eeeh?
MmmhhhhHao wa namna hiyo nadhaniBado wanatafakari wenyewe ni jinsiaGani and maybe they're not feeling comfortable in there own skin ...Lakini wamezidi, licha ya kutumia hizo make ups, wanaiga hadi mapozi ya kike, sasa hao tuwaweke katika kundi gani??
habari zenu wadau wa JF: sijui mimi ndo nimepitwa na wakati au ni vipi, yaani sielewi inakuwaje mwanaume rijali ( sio shoga) anapaka poda, anachonga nyusi (naskia wanawake wanaita kutinda nyusi) na kama haitoshi anaweka waves kichwani na kupaka mafuta na marashi ya wanawake? Yaani koro koro zote kwenye dressing table anashare sambamba na mkewe! Hii ni sawa kweli? Sijui mnaonaje wadau!