Wanaume kutochana nywele ni uchafu asilia au ubize wa kazi?

Wanaume kutochana nywele ni uchafu asilia au ubize wa kazi?

Chacha90

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2017
Posts
433
Reaction score
727
Umuofia kwenu wanajamvi,

Nimekuwa nashangazwa na tabia za wanaume wenzangu ambao huwa hawachani nywele zao na hivo kuwafanya kuwa very rough and dirt guys. Hii inatokana na ubusy wa mtu au uchafu ni asilia yake? Picha haina uhusiano na maelezo.

Karibu tujadili pamoja.
 
uchafu tu ..mkuu unaachaje kutochana nywele kwamfano ..wakati sehemu ya kichwa iko wazi mnoo yajidhihirisha kwa yeyote ..afadhali usinyoe mavuzi hkuna atakayejua zaidi ya mwenza wako lkini sio kuacha kuziweka nywele zako kwenye muonekano safi..""
ijpokuwa hata kuacha kunyoa mavuzi nao pia niuchafu unaopaswa kukemewa
 
Bora umenikumbusha, ngoja nichane sasa hivi
 
Nywele Kwa wale wanaotumia akili sana huwa zinajivuruga zenyewe. Nahisi kuna uhusiano wa ubongo na nywele. Nimejaribu sana kumsoma boss wangu, wakati mwingine nampa chanio anajichana ila ndani ya masaa mawili zinajivuruga tena. mshana jr saidia hapa.
 
Umuofia kwenu wanajamvi,

Nimekuwa nashangazwa na tabia za wanaume ambao huwa hawachani nywele zao na hivo kuwafanya kuwa very rough and dirt guys. Hii inatokana na ubusy wa mtu au uchafu ni asilia yake? Picha haina uhusiano na maelezo.

Karibu tujadili pamoja.
Sasa wewe Mme wako siumwambie ukweli uko uko..kuwa awe anachana nywele.
 
Katika vitu hua msahaulifu kufanya basi kuchana nywele!..Kuna siku nilienda mpaka ofisini na kitana kichwani nilijiandaa chana halafu nikasahau mpaka nafika!..
Zamani ilikua kufunga zipu ya suruali
 
uchafu tu ..mkuu unaachaje kutochana nywele kwamfano ..wakati sehemu ya kichwa iko wazi mnoo yajidhihirisha kwa yeyote ..afadhali usinyoe mavuzi hkuna atakayejua zaidi ya mwenza wako lkini sio kuacha kuziweka nywele zako kwenye muonekano safi..""
ijpokuwa hata kuacha kunyoa mavuzi nao pia niuchafu unaopaswa kukemewa

umenifanya nicheke ka mwehu hapa.
 
Ni aina ya maamuzi tuu,kwani kwa kiasi kikubwa au kwa wengi nywele huwa fupi kwasbb hata tunapokwenda kwa kinyozi huwaambia wazikate size ya brush hivyo zinaleta mazoea ya kutozichana Na ukitaka kuzichana shurti uwe Na brush
 
Kuchana si lazima ila kuosha lazima kuna uchafu Gan apo sasa
 
Back
Top Bottom