Baadhi ya wanaume wamekuwa na akaunti ambazo hazijulikani na wake zao (Yaani hazijulikani kuwa zipo, sio zina sh ngapi..).
Mfano mzuri ni stori ya leo kwenye magazeti kuwa baada ya hali ya milipuko ya G,mboto, kuwa mbaya mwanamke mmoja anaeleza kuwa mume wake 'aliungama' kwake mambo kadhaa, ikiwemo kumpa taarifa juu ya akaunti ambazo huyo mke alikuwa hazijui...
Swali; Ni sababu zipi zinaweza kumfanya mwanaume awe na akaunti ambayo mke wake haifahamu?
ntarudi baadae ila ni kweli wanaume wengi huficha baadhi ya Account zao tena hasa wa Kichagga, kuna jamaa aliwahi niambia wahindi wanaweka wazi mambo yao ya kifedha kwa wake zao including turnout na mzunguko wa biashara ndio maana wanafanikiwa.

Jiulize kwa nini Bank wanapokupa ATM kadi wanakuambia ile namba ya siri usimpe yeyote na uliharibu lile karatasi linalokuwa na ATM card password. Hapo ndo utajua jibu unaloliuliza hapa. Pia sidhani kama account number inafichwa maana imeandikwa kwenye ATM card hivyo mkeo anaweza kuisoma na kuandika pembeni kwa matumizi yake kama anahitaji
Wanawake wengi sio wasiri ndio maana hawaambiwi siri kama hizo!!!Wanapenda kujitapa kwa wenzao na utegemee lundo la matumizi kama akaunti ina hela!!!Eva alidanganywa kirahisi na nyoka na maswala ya hela yanagusa uhai na ustawi wa maisha.
BOLD: kunaaaaa....ka ukweli flani hapaWanawake wengi sio wasiri ndio maana hawaambiwi siri kama hizo!!!Wanapenda kujitapa kwa wenzao na utegemee lundo la matumizi kama akaunti ina hela!!!Eva alidanganywa kirahisi na nyoka na maswala ya hela yanagusa uhai na ustawi wa maisha.