“Wanaume Kuwahi Kuoa: Ukomavu Kiakili au Presha Kutoka kwa Walimwengu?”

Ndoa haina mwongozo na chochote kinaweza tokea,unaweza kujipanga na ndoa ikafeli, na maskini matako matupu akaoa na akafanikiwa, muhimu uwe na kipato na oa mwanamke unayempenda na anakupenda pia
 
Duuh!

 
Kama umemfumania mara nyingi, kwa nini unasita kuchukua maamuzi magumu?

Nilijua unahisi kumbe tayari umeshamfumania tena mara nyingi, mwanaume hatakiwi kuogopa kuchukua maamuzi kwenye situation kama hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…