wanaume kuweni na roho ya huruma

hahaha wambie hao wenye tabia chafu km hii,wananikera sana hasa waongo,wanaongopea mtu na kumpotezea mda bila ya huruma.
pole sana mkuu.lakini ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha uhusiano unadumu.shetani tusimpe nafasi katika mahusiano yetu.kudumisha mapenzi ni kazi kubwa yatupasa kupeana moyo.mia
 
Mkuu asante kwa mchango wako.yatupasa kuwaonesha njia wale waliopotea njia.kumpiga mwanamke ni sawa na kumdhalilisha mama yako.kumbuka yeye ni barafu wa moyo wako na ubavu wako.ndie mtu wa karibu yako ukiumwa.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…