Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
haya sasa sijui wanawake wafanyaje juzi tu hapa thread imefunguliwa mwanaume anashangaa kapewa papuchi siku ya kwanza tu ya mtoko leo huyu hapa analalamika anabaniwa papuchi dahhh kazi ipo,sasa naona kuna umuhimu kujigawa katika pande mbili wale wapenzi wa easy go na wale wapenzi wa hard to get maanake naona pande zote mbili zina mashabiki.
Ukipenda vya bure mwana utapakatwa .....
Shauri yako ...!!!!!!!!!!!!
Ukipenda vya bure mwana utapakatwa .....
Shauri yako ...!!!!!!!!!!!!
Pampuchi ni nini mazee?
Kwa hiyo unahalalisha tuzigaramie siyo? Pia lugha uliyotumia siyo sahihi, kupakatwa ni tusi.
Wao wana mlipa nani?
Achana nae huyo hebu sikiliza hii
Pampuchi ni nini mazee?
unataka bure umeambiwa hiyo ni chanjo ya kitaifa?