Wanaume kwanini baada ya tendo mnalala na kutuacha wenyewe?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
 
Iliwahi nitokea mara moja tu tena kwasababu ya kusafiri umbali mrefu sana (siku tatu) mfululizo pasi na kupumzika vinginevyo ohoooooo kuna mtu huwa anatoka nduki na dela mkononi anasusia mechi kisa nini eti kunawaka moto, nikimuuliza wapi anabakia ananyooshea vidole tu huku akitamka maneno hukuuuu hukuuuu hukuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…