Wanaume kwenye mapenzi wengi wao wako hivi.......

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Wanaume walio wengi wako hivi;
Wakiwa na mpenzi wanapenda wanyenyekewe wasibanwebanwe haya mapenzi ya sweetie baby honey hawapendi mojakwamoja kwa huona kama unamghasi anataka mapenzi hayo umpe wakati mpo wawili sivinginevyo kwenye public ndo kabisaa anaona kero!
Akiwa na mwanamke anataka awepo amwone nayeye hawe na uhuru wake binafsi ila asigongwe kwingine wivu huwa asilimia na hamsini!!ila yeye akagonge!Akiponyoka yule mwanamke hapo ndo huona umuhimu wa yule mwanamke japo hapo mwanzo aliona kama kibrudisho fulani!Hivyo ndivyo tulivyo wanaume mtusamehe sana ndotulivyo umbwa!
 
Mhhhhhh! mbona wengi wana maendeleo ninaowajua mimi
 
unajaribu kum-impress nani?
Uko kimatangazo zaidi, anyway ruksa kubweka hasa mbwa wako anapokuwa bubu.
 
Kwenye hii hadithi sijapata fundisho lolote. Ebu rudia tena.
 
umechanganya mambo; hata ulichoandika hakina mashiko.
 
Mkuu, umesahau kuwaambia wanawake kuwa wanapenda kubembelezwabembelezwa na kudekezwa kama watoto wadogo.
 
mbona hamna jipya hapo ... pole sana nahisi unataka kuhalalisha kuwa wanume ni waajabu sana ukidhani ni saifa .. real men hawako hivyo
 
mbona hamna jipya hapo ... pole sana nahisi unataka kuhalalisha kuwa wanume ni waajabu sana ukidhani ni sifa nzuri .. real men hawako hivyo
 
Hao ni wanaume wa wapi?Labda wewe mimi sipo kabisa hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…