Prishaz JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 2,898 Reaction score 5,020 Nov 19, 2011 #21 kazi ipo!
D DATOGA Member Joined Nov 17, 2011 Posts 82 Reaction score 24 Nov 19, 2011 #22 Huna experience wewe...kwanza shenzi type! yaani badala ya mwanamke kubembelezwa ww dume ndio ubembelezwe, au ww ni type ya akina cameroon.
Huna experience wewe...kwanza shenzi type! yaani badala ya mwanamke kubembelezwa ww dume ndio ubembelezwe, au ww ni type ya akina cameroon.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Nov 19, 2011 #23 Kaizer said: :shock::eyebrows: Click to expand... Ha ha ha, Kaizer unashangaa? Au una shanga?
loibooki Member Joined Aug 31, 2011 Posts 12 Reaction score 0 Nov 19, 2011 #24 Kweli lakn...hata mimi sipendi show off..
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Nov 19, 2011 #25 Uongo tu. Kesho nitawafundisha mwanaume mwenye mapenzi anakuwaje.
M mtotomzuri Member Joined Aug 19, 2011 Posts 5 Reaction score 1 Nov 19, 2011 #26 mh,watu wengine bwana sasa hiyo ni topic watu wachangie au nini?😡 haieleweki kabisa jamaa
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 957 Nov 19, 2011 #27 Husninyo said: Uongo tu. Kesho nitawafundisha mwanaume mwenye mapenzi anakuwaje. Click to expand... looking forward to that. and for some reason I also want to date you dear!
Husninyo said: Uongo tu. Kesho nitawafundisha mwanaume mwenye mapenzi anakuwaje. Click to expand... looking forward to that. and for some reason I also want to date you dear!
Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Nov 19, 2011 #28 Eiyer said: Hao ni wanaume wa wapi?Labda wewe mimi sipo kabisa hapo! Click to expand... haaaaalooo! Nafuu umemweleza, yeye ndio yuko hivyo anapakazia wanaume wote lol
Eiyer said: Hao ni wanaume wa wapi?Labda wewe mimi sipo kabisa hapo! Click to expand... haaaaalooo! Nafuu umemweleza, yeye ndio yuko hivyo anapakazia wanaume wote lol