Daaah hatari sana πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Siwez msamehe kaka. Juzi Kuna post nimieona ety mwanamke anasema "wanazaa na wanaume warefu wanajua wanaume wafupi watakuja kulea kumbe ni wanafanya kusudi"
 
Tunashukuru kwa maua na tumeyapokea,hata wanaume tunaolea watoto wa kusingiziwa kwenye ndoa tunapokea maua yetu!
 
Ndiyo haziko hivyo, mfano nchi za Scandinavia ambazo mfumo dume siyo norm na wanaume hawawi expected automatically kubeba majukumu ya wapenzi au wake zao.
Na hao ndio waliotuletea hizi ideologies za 50/50 nasi tulivyokua malimbukeni tukazipokea kama zilivyo bila kuangalia kama social constracts zetu zinaenda sambamba na izo ideologies.

Mwanamke wa kizungu anajua anawajibika kufanya kazi ajihudumie mahitaji yake hata anapoingia kwenye mahusiano anajua kuna kupanga bajeti na kuchangia kulipa bill wote kwa pamoja. Hapa kwetu mwanamke anataka usawa kwenye kila kitu lakini ukigusa hicho kipengere cha kulia bill anaamisha goli.

Matokeo yake tumezalisha kizazi cha wanawake wasumbufu ambao hawajui wasimame upande gani. Wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawayataki wajibu unaomfanya mwanaume apewe iyo nafasi, wanataka privilege ya mwanamke lakini hawautaki wajibu unaomfanya mwanamke apewe iyo privilege
 
Umezungumza kweli kabisa πŸ“Œ
 
Utamaduni wa MAUA tuqachie wenye maua yao. Wewe tuma HELA nami napokea kwaniaba yao kama kiongozi wa wanaume wenye sifa hizo na zingine nzuri
 
Nimepokea maua haya kwa furaha na tabasamu, God Bless you. πŸ™Œ imenifurahisha na kadri nifurahivyo nafsini mwangu nawe furaha hii ikakurudie ndugu mwandishi 😊 πŸ™

Short story
Nina mdogo wangu mmoja wa kike nlikuwa namsomesha shule O level mkoani, basi nikawa na tuma ada maana yupo private school, akahitimu mwaka juzi na kupangiwa kidato cha tano.

Kumbe katika pesa nayomtumia ya matumizi alichukua kidogo akanunua kuku wakawa wanamfugia nyumbani na akafanikiwa kupata kuku kadhaa sio wengi sana.

Basi wakati anaenda shule (advance) aliacha maagizo kuwa siku nikirudi kusalmia nyumabni basi nichinjiwe jogoo mkubwa na sikuwah ambiwa
jambo hili, baadaye niliporudi kijijini walifanya hivyo, wakati tunakula ndio niliambiwa, nilifurahia sana utadhani amenipa sijui nini.

Summary
Moyo wa shukrani unafurahisha sana hususani kundi hili la wanaume ambao sio rahisi kutambuliwa na jamii.

God bless you again ndugu mwandishi πŸ™

Regards
Miguel wa II
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…