Wanaume Madaktari bingwa wa kinamama

Dearest hamu ya kukuona ni mutual... post yako in maternal health na related issues has intensified that! Napenda discussions na mtu muelewa ili niongeze knowledge na kupata a new perspective thus i do than you too... Uelewa wako wa lini mtu anapata elimu kuhusu mambo yahusuyo mimba ni sawa kabisa... mpaka upate mimba - what a laugh! but saddening... Mambo mengi yanafanya wanawake kupata mimba umri mdogo; kushawishiwa na watu wazima/walimu/marafiki and in most cases kubakwa.. some hata na baba zao... (wanaume wengine mabedhuri!!!! was** kabisaa!!)... Huyu binti mdogo anapopata mimba anaona aibu, anahukumiwa na kusimangwa sometimes hata na immediate families.... Dah! sometimes i hate this topic! But all in all nakubali yoote uloongea..

Mimi nafikiri hio ya wahaya ni in most cases dear... katika kabila langu (sorry sitataja...) mwanamke harusiwi kuonana face to face na baba mkwe kabisa... ukimuona anakuja geuza njia na kimbia... kama ni chocho unachuchumaa kuface ukuta alafu unajigubika na kitenge mwili mzima... Khaaa!
 
Reactions: Mbu
Huyo dr. Alikuwa anamwomba mchezo indirectly, so dada alimpa mchezo au? wanawake sometimes wanatia huruma, kimzaha dr anapewa mzigo!
 
Hahahaha Aishadii loh ile ya ukikutana naye barabarani vuka barabara uende upande wa pili ndo usalimie!! sasa hapo assume mko naye nyumbani nawe uchungu umekukamata (Ingawa siujui unaumaje but naamini unauma) inakuwaje?..........anyway mydia aksante kwa kunipa 'food for thought' in case of any thing naomba usinichoke maana ntakuja tena na tena................king'ang'anizi mie!
 
Mkuu kuna madaktari bongo wapuuzi kweli, wao kuwa madaktari bingwa wa hao wanawake na watoto wameishajiona kuwa wanakila sababu ya kudhalilisha wake za watu, sio watunza siri kabisa! hayo mambo ya kuingiza vidole na kupima ndio sitaku kuyasikia. I wish ningekua daktari wa magonjwa sugu ya wanawake nifaidi..
 
ha ha ha... imagination tu peke yake is killing me na ni kabila langu! Ndo maana naona wanang'ang'ania binti ukajifungue kwenu kuepuka hizi problems ambazo ukiangalia hazina hata misingi... ingawa wengine wamerahisha... MJ1 Ushawahi sikia lile kabila ambalo baba unamuonja kwanza mwali ndo anakabidhiwa kwa kijana....lol.. Hizi cultures hizi!

The bolded purple MJ1... 100% My thot hivyo nimefurahi ni wazi hatutochokana....lol
 
excitement ni miezi ya mwanzo darasani, ukishaingia kwenye field hata nyama utasamehe kwanza.
Kumbuka, utaokuwa unakutana nao ni wagonjwa...wenye mimba ni sehemu tu ya wagonjwa wake.

Tanzania hii hii? hebu acha maskhara bana...nilidhani Aspirin anatania!
kabila gani hilo?
 
Tanzania hii hii? hebu acha maskhara bana...nilidhani Aspirin anatania!
kabila gani hilo?

Mbu am telling you kuna vituko vya makabila hapa Tz mpaka waweza kataa...
Sema sababu hua nina interest na hizo issues na have done some studies
iko so revealing.... naomba tu umuone Asprin akutajie....lol
 
Reactions: Mbu
Dr.Shaffiq kasoma na sister yangu na aliwahi kumzalisha mtoto mmoja. Kazi kweli kweli. Anasema alivyoenda hospital hakujua kuwa atakutana na Dr. anayemjua. Those days Shaffiq ndio alikuwa anaanza anza kazi. Ningekuwa mimi ningegeuza...class mate!

Reactions: Mbu
Mbu am telling you kuna vituko vya makabila hapa Tz mpaka waweza kataa...Sema sababu hua nina interest na hizo issues na have done some studiesiko so revealing.... naomba tu umuone Asprin akutajie....lol
Vituko gani bhaaana vya hayo makabila? Mwenzio MBU washaanza ning'ata, ngoja niweke neti! Madaktari noumer!
 
Dr.Shaffiq kasoma na sister yangu na aliwahi kumzalisha mtoto mmoja. Kazi kweli kweli. Anasema alivyoenda hospital hakujua kuwa atakutana na Dr. anayemjua. Those days Shaffiq ndio alikuwa anaanza anza kazi. Ningekuwa mimi ningegeuza...class mate!
Duh! Noma ipo hapa aisee duh!
 
Mbu am telling you kuna vituko vya makabila hapa Tz mpaka waweza kataa...
Sema sababu hua nina interest na hizo issues na have done some studies
iko so revealing.... naomba tu umuone Asprin akutajie....lol

lol!...Aspirin anamuita Mwj1 ni mjuukuu wake...ngoja tu niishie hapo na maswali yangu.

Dr.Shaffiq kasoma na sister yangu na aliwahi kumzalisha mtoto mmoja. Kazi kweli kweli. Anasema alivyoenda hospital hakujua kuwa atakutana na Dr. anayemjua. Those days Shaffiq ndio alikuwa anaanza anza kazi. Ningekuwa mimi ningegeuza...class mate!

...loh,...haya sasa!...kuna mama mmoja alikuwa na specialist wake hayo mambo ya kina mama, siku ya siku kaja kugundua
huyo dakitari ni mkwewe mtarajiwa. Sijui nani afiche sura yake hapo, ....baba mkwe mnh!
 
lol!...Aspirin anamuita Mwj1 ni mjuukuu wake...ngoja tu niishie hapo na maswali yangu.

Siamini kua we are to have a lot of things in common na MJ1... Kumbe ni mjukuu wa Asprin...
Mimi nime apply ujukuu bado nipo katika interview stage (via mjukuu wake of coz) lol
 
Tatizo liko hapo mydia...kila ukicha tunaimbiwa kuwa ujauzito/mimba si ugonjwa..... sie tu wa mjini twaambiwa hivyo sembuse wa vijijini? Sasa unapojisikia'ndivyo sivyo' na unajua ukienda hospital wewe uta'ingizwa' mkono na daktari wa kiume ndio kwanzaaaaa unazidi kuamini kuwa mimba si ugonjwa.unavumilia kumbe tatizo linazidi kukomaa na mwisho linakuwa kubwa....

Mimi wakati wangu sio siri nilikuwa najiuliza .hivi huyu Shaffiq ni vije, mbona han'pimi'?? na si kuwa nlikuwa naogopa la hasha nilihisi somethong is not right mbona zile 'hadithi' nlizokuwa nasimuliwa sizioni?? na nilikuwa namtwanga ,mawali mpaka akawa ananifukuza ofisini kwake....... na ninashukuru MUNGU kuwa maswali yangu yaklinisaidia kwani bila kwayo nahisi ningekuwa naongea mengine hapa..........so mpaka leo nashangaa kwa nini sikuwahi ku'pimwa'.
 
Reactions: Mbu

Hapana bana Babu yangu si wa hivyo.....ah!! Amestaarabika siku zile alikuwa tu akurusha roho aone mwanaume umesimamaje!!

Siamini kua we are to have a lot of things in common na MJ1... Kumbe ni mjukuu wa Asprin...
Mimi nime apply ujukuu bado nipo katika interview stage (via mjukuu wake of coz) lol

Ahahahahah Ashadii wewee.........eti umeomba ujukuu, mie mwenzio nmenyeng'wanywa (hapa tuongee kwa sauti ya chini mwaya wachumba wasijesikia) Babu anataifisha lol......anakaba huyoo anataka wajukuu zake waolewe na kizinda na tena akikague yeye kuwa kipo!!
 
....ha ha ha, eti han'pimi?...kuna wengine raha yao waende kwa Gynecologist 'wakapimwe tu' japo hawaumwi...
waume wasinune kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…