Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe au Baba yake alimuwekea hisa.
Kwa hapa Tanzania, tembelea Jamii za kanda ya kaskazini huko kwa Wachaga, wapare, Wamasai, Wameru, na wasambaa na jamii nyingi za kanda hizo huwezi sikia ati mwanamke asifanye Kazi. Mwanamke lazima afanye Kazi na azalishe Mali.
Nenda kanda ya ziwa kwa Wasukuma huko, Wahaya, wakurya na Jamii zote za kanda ya ziwa. Mwanamke lazima afanye Kazi. Nenda Nyanda za juu kusini kwa wakinga, wahehe, wanyakyusa na jamii za huko.
Lazima mwanamke afanye Kazi za uzalishaji. Iwe ni Kilimo, biashara, ufugaji au Kazi za kuajiriwa.
Wanaume wengi wenye elimu kubwa, nazungumzia elimu kubwa sio zile elimu za magumashi, wanaume wengi wenye vipato vikubwa na vya Kati. Wanaume wengi ambao ni watawala kama wanasiasa mfano, wabunge, mawaziri, Marais, Majaji n.k WAKE ZAO wote wanafanya Kazi za uzalishaji.
Huwezi msikia mwanaume mwenye akili zake timamu, aliyesoma, mwenye kipato, mwenye nguvu za kiuchumi alafu umsikie akimzuia mkewe asifanye Kazi.
Wanajua umoja ni nguvu watu wote wenye akili, nguvu na watawala. Wanajua Leo mwanaume yupo Kesho hayupo mkewe ataishije? Watoto wake wataishi vipi? Nani atasimamia miradj na mali siku mwanaume akiondoka na kulea watoto mpaka wafikie malengo kama sio Mkeo?
Mwanamke anayekaa tuu nyumbani asiyetaka kufanya Kazi yoyote, siku ukiondoka ataleaje watoto wako au ndio hawa wanaokimbiwa na wanaume kila siku na kukejeliwa single mother na kutukanwa?
Wanaume wote tunajua hatutaki kulea watoto wa Wanaume wengine. Sasa kama unalijua Hilo hufikiri siku ikitokea haupo na mkewe Hana Kazi Wala hajui afanye Kazi ipi unafikiri watoto wako Nani atawalea?
Yaani watoto wako waishi kwa taabu maisha yao ili yawe mazuri ni mpaka Mama yao(Mkeo uliyemuacha bila Kazi) akafanye umalaya. Yaani watoto wako walelewe kwa pesa za Mkeo kunajisiwa, kukamuliwa, tena kwa manyanyaso ya kila namna bado hao watoto utegemee watafika popote pa maana?
Kama Mkeo angekuwa anafanya Kazi, hata ususi, au umama ntilie, au ushonaji, au Kazi yoyote tangu ukiwepo hawezi kushindwa kutunza watoto siku ukiwa haupo.
Wanasema mzoeya vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Kama Mkeo ulimzoezesha kukaa nyumbani miaka na miaka kwa ujana wake wote akiwa na nguvu hivi unategemea umri wa utu uzima labda miaka 45 umemuacha atafanya nini zaidi ya kudhalilika?
Hata zile Mali kidogo ulizochuma, kama viwanja ulivyonunua labda kwaajili ya zawadi ya urithi kwa watoto wako baadaye si atauza vyote ili aendeshe maisha yake? Lakini angekuwa na Kazi wazo la kuuza haliwezi kumjia kirahisi hivyo.
Lakini kwa ujinga wako ati unasema, oooh! Mwanamke akifanya Kazi ataliwa na maboss zake. Unamawazo ya kipuuzi na kitoto Sana yaani kama kijana anayebalehe. Unaogopa Mkeo kuliwa ofisini na boss wake lakini huogopi Mkeo kuliwa hapo nyumbani kwako na vijana wa wasio na mbele wala nyuma sio?
Sikiliza, Mkeo kama ni Malaya kuliwa ataliwa tuu bila kujali anafanya Kazi au hafanyi Kazi. Tena akikaa nyumbani ndio ataliwa bureee na wanaume WA bureee hata Mia hatapewa. Bora huko ofisini akiliwa ataliwa na wachapakazi wenzake kuliko aliwe na wavivu wa mtaani.
Tufanye lazima mwanamke lazima a-cheat. Kipi Bora?
1. Aku-cheat hapo nyumbani kwako apate mimba za vijana wavivu wasio na Kazi au aku-cheat akiwa ofisini na wafayakazi wenzake? Kipi Bora kwako. Yaani hapo tumechukulia mwanamke lazima a-cheat
2. Kipi Bora? Aku-cheat na mkurugenzi wa kampuni anakofanyia Kazi ambapo hata akipata mimba ukamfukuza hiyo mkurugenzi ataweza kumhudumia mkeo (uliyempa talaka) na mtoto aliyemzalisha Mkeo ambaye huyo mtoto ni ndugu nusu na watoto wako uliyezaa na Mkeo. Au aku-cheat na mwanaume hapo mtaani asiye na Kazi ambaye amempa mimba, ukamfukuza Mkeo na mimba yake ambaye mtoto atakayezaliwa ni ndugu wa watoto wako.
3. Kipi Bora? Aku-cheat na mwanaume wa mtaani asiye na Kazi ambaye Mkeo atakuwa anamhudumia huyo kijana kwa pesa utakazokuwa unampa Mkeo. Au aku-cheat na mwanaume anayefanya naye Kazi mwenye kipato ambaye hatapewa pesa yoyote na mkeo kwani wote wanakazi.
Utasema oooh! Kwani mke akiwa mama wa nyumbani hawezi kuku-cheat na wanaume wanaofanya Kazi?
Kwanza elewa wanaume wanaofanya Kazi huwachukulia Wanawake wasiofanya Kazi kama Liability hivyo wengi huwapuuza ingawaje wamama WA nyumbani huweza kushoboka kwa wanaume wafanyakazi.
Kwenye probability ya Mkeo mama wa nyumbani kuku-cheat na mwanaume mfanyakazi uwezekano ni mdogo Sana. Kwani atapata wa level yake kama muuza butcher, bodaboda, muuza genge, muuza chipsi, na watu wa aina hiyo.
Ingawaje exceptional zipo chance hasa kwa wanawake wale wazuri Sana n wenye maumbo matata hasahasa wenye msambwanda. Hao wanawake wazuri Sana ni wachache pia.
Vivyohivyo kwa mke anayefanya Kazi. Probability ya yeye kutoka na wanaume wasio na Kazi au wenye Kazi zenye kipato kidogo ni mdogo. Inatarajiwa zaidi wale anaofanya nao Kazi, rafiki za mumewe wenye hadhi ya mumewe au juu ya mumewe.
Mke mwenye Kazi na kipato kutoka na watu wa mtaani kwenu hasa wenye vipato chini yake ni ngumu Sana kutokana na sababu mbalimbali. Ingawaje inatokeaga mara mojamoja ambayo ndio huitwa ZALI. Maelezo hayo ni kwa wenye mawazo ya kingonongono kuwa mke atalambwa na wanaume wengine.
Mwisho nimalize kwa kusema hakuna mwanamke mwenye akili zake timamu, mzuri na mke Bora atakubali KUTOKUFANYA Kazi kwa sababu yoyote Ile zaidi ya ugonjwa au Kifo. Mwanamke Bora lazima ajiulize nini kitatokea siku mkiachana kwa sababu kuachana ni lazima iwe kuachana kwa Talaka au kuachana kwa Mmoja kufariki.
Mwanamke mwenye akili hawezi kuwaza kama mtoto kuwa yeye kama mama mtu mzima, mwenye watoto wadogo alafu mumewe amefariki ati kuna mtu anaowajibu wa kulea hao watoto zaidi yake na huyo marehemu mumewe.
Acha nipumzike. Mwenye kuelewa aelewe. Anayekaza fuvu akaze.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam