Wanaume, mke kama huyu unamfanyaje?

that manzi ushauri mzuri.
1. Muulize kwanini anafanya hivyoo labda ukute ni ex wako kabadili sura so anakukomoa au amekufumania.
2. Anakupenda kweli mtu ameolewa anatoa mimba ya mwanaume wake wa halali kali ingekuwa wa mwingine sawa kuepushA shid.
3.achaaneni tu atakuja kukua wala hakupendi
 
Brother inaumiza kuona mtu anatoa mimba ingali yupo katika ndoa.

Kiukweli huyo hafai nimsaliti achananae.
 
Mtie nyingine mpaka unahakikisha anakufa kwa kutoa mimba kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] KWAIO akaushie apige mimba ingine mpaka utumbo na tumbo la kizazi vijute...mmamaaeee
 
Kwa issue Kama hii mtu bado anaomba ushauri eti afanye nini duh🤔
 
Hiyo sio ndoa ni ndoo.. KATAA NDOA NI UTAPELI
 
Wewe hapo huna mke . Mwambie tu ukweli mmalizane vizuri bila ugovi kila mtu aendelee na maisha yake. Mtu aliye kuficha jambo kubwa hivyo basi Kuna mengine mengi.
 
Watu mnateseka na mahusiano sijui ndoa mpaka huruma.
Yaani ukishindwa fanya maamuzi basi walau unajifunza kumpotezea mwisho utajikuta umeshamuacha..

Hebu jalini Afya za akili zenu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…