Vaislay; wewe rafiki wa mume wangu,lakini cha ajabu unampenda mke wa rafiki yako wakati wewe unamke.ukituona tumeongozana unakasirika,huoni aibu?jamani,dunia inaenda wapi?
Huyo shemeji yako ndo amekwambia anakasilika akikuona na mumeo? Alishakwambia anakupenda labda?
Heading ya Thread yako nadhani ungeiweka ''Baadhi ya wanaume wakoje?'' Maana unaposema wanaume mkoje, una uhakika wote tunakasilika pindi tuonapo rafiki zetu wanaongozana na wake zao kitu ambacho si kweli.