wanaume mmezidi,!

felinda

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
351
Reaction score
136
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
 
Utani tu huo Feli, usiogope. Wanaume ni rafiki zako...
 
Bora yetu wanaume je nyie wa kike toka mvunje ungo 4 minimum unajaza meli nne.
 
Haaaa haaaa du Loading ..........................will be back
 
Hebu na mie leo nifanye uchunguzi kwamba nishapigwa ndoa za mkeka ngapi huko uzaramoni....................LOL
 
Hao ni wale wavulana wadogo ambao bado ni malimbukeni wa mapenzi wanatafuta urijali kwa kubadilisha wanawake! wanategemea pocket money kutoka kwa wazazi wao....Shame on them!
 
limekutachi...

Hapana, sihusiki kwa jinsi yoyote katika hilo. Hao uliiowaongelea hapo ni vitoto na inaonyesha ulikatiza sehemu ambapo ulikuta vitoto vya kiume vinasimuliana stori zao, am not of such type.
 
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?

WW yamekukuta katika Mohamed na ww humo ndani... Pole sana felinda
 
Last edited by a moderator:
Hapana, sihusiki kwa jinsi yoyote katika hilo. Hao uliiowaongelea hapo ni vitoto na inaonyesha ulikatiza sehemu ambapo ulikuta vitoto vya kiume vinasimuliana stori zao, am not of such type.

ma dia hao ninaowasemea ni watu wazima co watoto...wenye miaka 28 hadi 30
 
may be waliruka stages. Ok, usijali watakuja wenyewe kuchangia hapa na watasema inakuwaje hadi wanajisifia hivyo
 
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?

heri yangu mi' bado bikra najikaliaga kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…