wanaume mmezidi,!

eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje?

Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini???

Sasa si unakua unaangalia kama ume achieve your goals???
 
Jicho ya kenge mumaji kama unabisha sogelea moto uwake
 
Hahaha naona unatafuta balaaa na allen. Wellsaid Asprin kwamtindo huu wa vimini unaweza kwendakukodi mabehewa ya treni pale TAZARA mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Lakini mambo mengine mnayasababisha wenyewe. Kwa mtindo huu siye tufanyeje?

Wakati mnajua kabisa na sisi tukishapiga haya makitu alkoholi inashuka chini???

ni kwel wao ndio wanakuwa chanzo,xo sidhan kama 2natakiwa kulaumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…