Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Subiri uNandyiwe ndio utajua kumbe ata bilinenga mwanaume.
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao like what to wear what to drink it etc...
Wanaume tafuteniie hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
.

Yaani bado upo 777 tu?
 
Shem unanipa kazi ya kusoma mara kwa mara huu uzi wako ili nielewe, lakini huo mstari wa mwisho nimeuelewa na tutaufanyia kazi....
 
Niambie dada angu jana umekunywa pombe gani?
Usiwe umekunywa Cocktail ya gongo+chibuku+Ulanzi= Lazima uandike supu ya mapupu 😀😀
 
Back
Top Bottom