Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao like what to wear what to drink it etc...
Wanaume tafuteniie hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
.
Mzigua90 mimi sijaelewa unacho msnisha.
Fafanua ueleweke.