Wanaume mna tatizo gani?

kabakabana sasa kama bwana harusi angekwambia anakuchukia ungesubiria mpaka sherehe iishe?? c ungeangua kilio na kuondoka???
Mara nyingi tunajitahidi kuwambia yale mnayotamani kusikia kutoka kwetu, HILO NDO TATIZO LETU.
 
We hujiskii raha kupendwa na Bwana harusi..?
 
ni wapi niliposema nilisafiri kutoka chuga kuja kumuona?
 
Possible alikupenda kweli, na sbbu ulimbania na haukuwepo tena maeneo ya karibu nawe, alijua nafasi yake kwako, haipo tena, na pegine ushawishi wake ulishindikana.
Alipokuona ktk harusi obviously lazima kushtuka na zile hisia kwako kurudi, sbbu alikupenda na hakutegemea kukuona pale.
So alikuwa na haki ya kukueleza hisia zake ambazo ulizideny long ago.
So mchukulie poa tu
 
Dah my sister ujue mapenzi ni kitu hatari huyu inaonekana moyo wake ulikudondokea ila ukawa mgumu. Ungekubali tukala maali yake au ni jibaba?

hehehe ni jibaba kaka hukumbuki nilikupa story yake?
 
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.
 
nilishindwa kumkubali miaka yote hata sasa hawezi kunipata
 
Duuu yani nampa pole sana mke wake, au yeye anapenda kama kina fazaa kwa kutazama tu hafanyi mabaya.

Lakini aisay angemheshimu mke wake kidogo, yani hapo anamdhalilisha sana.

Kweli sisi wanaume sometimes, tunakosa akili hata yakufikiria.

niliumia sana na nilimwangalia yule rafiki yangu machozi yalinilenga!
Hakuwa na heshima wala ustaarabu hata kidogo.,
 
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.

mkuu pamoja sana ajichek tena anasema ni jibaba litamnyatia kama simba na swala.alafu mbona rafiki yake walifichana wakati wa uchumba na bado siri inaendelea.female r so fake
 
Reactions: EMT

nilitoka nae kama mara 3 au 4 na ilikuwa mda wa mchana,na mahala pa wazi!,na ilikuwa ni kama after muda kama even 8 months,sikudhani bado angekuwa king'ang'anizi.
 
wanaume hawaridhik kwa wanachokipata hata umalize ujuzi wote na kumpa vitu vyote bado atatoka

inaumiza sana kwani watu hawatulii na wake au wapenzi wao jamani,hata sijui wanataka wapewe nini lol
 
niliönana nae kwa drinks mara kadhaa kama mara 3 au 4 baada ya siku ile.,kupata a drink na mtu ina maanisha hujatulia?ahsante kwa kunifahamisha.

..................
 
nilitoka nae kama mara 3 au 4 na ilikuwa mda wa mchana,na mahala pa wazi!,na ilikuwa ni kama after muda kama even 8 months,sikudhani bado angekuwa king'ang'anizi.

ama kweli huyu ni jibaba,zaidi ya mara tatu umetoka nae na hakufahidi chochote zaidi ya smile lako.mimi 1chance 1goal uwa sifanyi mzaha ktk uchaguzi wa location
 
inaumiza sana kwani watu hawatulii na wake au wapenzi wao jamani,hata sijui wanataka wapewe nini lol

kuonja tu.... wala siyo kama ana mapenzi kiviile, and he will be back, trust me
 
Kabakabana,

Kama avatar yako ni wewe mwenyewe au ina represent ulivyo, usimlaumu huyo jamaa, avatar yako inaita kwa kelele.
 
mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
 
kabakabana sasa kama bwana harusi angekwambia anakuchukia ungesubiria mpaka sherehe iishe?? c ungeangua kilio na kuondoka???
Mara nyingi tunajitahidi kuwambia yale mnayotamani kusikia kutoka kwetu, HILO NDO TATIZO LETU.

sikutamani kusikia neno 'nakupenda' kutoka kwake wakati ule.Amenifanya nimchukie na kumuona sawa sawa na ibilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…