Wanaume mna tatizo gani?

mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
That's how a man is suppose to behave...sio kujifanya haujamuona ila pia ni kuwa hauna habari na kinachoendelea hapo ulipo zaidi ya huyo uliyenaye tu..
 

lakini hapa ni siku aliyotoka kukiri mbele ya padri na Mungu kumpenda mke wake bla bla bla mpaka afe,tena ananikazia kunipenda!aisee bado haiingii akilini
 
Kuna dalili kubwa lazima utakujampa tuu. Tena kamwoa rafiki yako ndio kabisaa.

ameshanipgia simu kama mara 3 sijapokea sitaki hata kumsikia,basi huyo rafiki akinipgia cm anasema y anakusalimia huwa natetemeka sana kwa hasira,
 
ama kweli huyu ni jibaba,zaidi ya mara tatu umetoka nae na hakufahidi chochote zaidi ya smile lako.mimi 1chance 1goal uwa sifanyi mzaha ktk uchaguzi wa location

hahaha umenchekesha eti uchaguzi wa location
 
Kabakabana,

Kama avatar yako ni wewe mwenyewe au ina represent ulivyo, usimlaumu huyo jamaa, avatar yako inaita kwa kelele.

hehehe na wewe imekuita?
 
mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....

hahahaha the boss uongo huo,,profile lako na mabinti ninalo
 
That's how a man is suppose to behave...sio kujifanya haujamuona ila pia ni kuwa hauna habari na kinachoendelea hapo ulipo zaidi ya huyo uliyenaye tu..

huwa nafurahi sana kuona kumbe kuna wanaume wachaache sana bado wana msimamo
 
niliumia sana na nilimwangalia yule rafiki yangu machozi yalinilenga!
Hakuwa na heshima wala ustaarabu hata kidogo.,
Itabidi ujitahidi kumpa soma rafiki yako, mwambie kuna jirani yenu wakiume alioa mwanamke kutoka msumbiji, na huyo mwanamke akawa anamuamini sana mme wake...kumbe mme wake anapenda rafiki yake huyo mwanamke...Afu unamwambia wanaume hawaminiki lazima awe na yeye careful na mme wake asimuamini sana mwanaume!

Ujumbe utafika kiaina aina, umenipata.
 
hahahaha the boss uongo huo,,profile lako na mabinti ninalo

huyo aliekupa profile langu la uwongo mwambie yatamshinda....lol
by the way sijasema sipendi warembo
ninachosema nikiwa na mmoja nahakikisha anajisikia malkia fulani hivi
heshima mbele kama tai,sio macho juu juu kwa vinavyopita
hata akitokea mrembo wa kunishtua,najikausha huwezi kuhisi chochote
get it?
 
mimi sio mke tu tena kwenye harusi
mimi hata bar tu kama niko na mchumba.
wanawake wengine wote najifanya siwaoni......hata atokee beyonce ananikonyeza..
nitajifanya sijamuona....
Mazee hio ya kujifanya sioni huwa inanishinda kabisa, hata wife anajua mimi kwa kutazama wanawake wazuri naweza kupewa kikombe cha dunia, kama kuna mashindano.

Lakini huwa anajuwa wazi siendi nje ya ndoa, ni muhuni wa kutazama tu, na kusifia alicho umba mungu.
 
tunauhakika gani hukulala nae? halafu wewe unaweza kufunga safari kutoka mbali uende kwenye harusi usiyowajua maharusi? wewe jamaa alikumega halafu ulikuwa unampelekea mzigo hata heading yako inaonyesha una wivu maana drinks ulizokuwa unapewa hamna tena. kana alikutekenya maana yake HILO NI DUME LA SHOKA
 
Usimsaliti rafiki yako..kaa mbali na huyo shemeji mshenzy, potea namba yake, usipokee wala kujibu simu/text..!
 
Boss yaani sio heshima tu bali inakuwa maongezi yote na all eyes on her tu..
 
kwani kukupenda kuna tatizo gani? unataka akuchukie?

Mkipendwa tabu..Mkichukiwa karahaa tatizo liko wapi dada,Kumbuka nyinyi mmeumbwa ili tuwatamani na kuwapenda ndio maana waislam wana wake zaidi ya mmoja kwa mujibu wa mambo kama hayo
 

hahaha hapa nimekupata fresh kabisa,at least wewe hujasettle lakini una hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…