Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew


Demiss mahela .
 
Kumbe baba yako Sam Mahela?
 
Umeishasema ww ni mbaya so utapigwa sana virungu ila ungekuwa mrembo ungehongwa sana
 
Hivi kwanini mimi naona Guendouzi ndiyo katufelisha halafu kuna watu wanamuunga mkono?
Hivi umewazia angecheza Elneny?
 
Basi ni vivyo hivyo wanaume tunajisikia mkituomba pesa ila tunawavumilia tu, basi na nyie vumilieni.
 
Hasa ntamwombaje mwanaume mwenzangu pesa wakati nyie mliotuzaaa,naomba buku sina nauli ya kwenda kibaruani.
 
Ttzo lako unadate matapeli wa town, Magu kabana kila kona wamekugeuza chanzo cha mapato. Njoo kwangu utulize roho[emoji4][emoji4]

Hawa masista duu wakiona mkaka kagonga tai na kingereza cha kuunga unga kama chote hivi wanamwona huyo ndio husband material,wakiingiza mguu tu, kuleeeeeeeee, halafu wanakuja humu kulia lia
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…