Wanaume mnajidanganya kwa hili

Nitarudi tena hapa kwa ajili ya Michango ya WADAU
 
Stupid, hakuna mwanamke atafika kitandani, kwanza kitanda kipi bila pesa, mjinga wewe, by the time umefika kitandani kuna mtu kakodi gari chumba etc etc, unless wewe unajua kuchagua wanaume wazuri kitandani namuonaga kichaa mmoja ana bolo inchi 12 mbona sijasikia mkimgombania, mfyuuuuu
 
Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia

[emoji375][emoji375]
Hili nalo neno kusema kweli
 

Nyinyi hamjui hata mnachokitaka aisee, ukipata mwenye pesa utatafuta na wakitandani, ukipata wakitandani utasema ana kibamia. Kiufupi hamueleweki wala hamjielewi.

Ndio mana hapa Dar mnafumuliwa marinda siku hizi
 
Post yako moja kwa moja inadhihirisha kwamba PESA NDO KILA KITU na %KUBWA YA WANAWAKE NI NYOKA SI WA KUWAAMINI HATA PUNJE. Japo umesema hiyo ya utalala hata na mwingine ili upate pesa utumie na umpendaye kwa kumficha pesa ulipotoa. HUO NI USALITI MBAYA SANAA.
 
Hili umesema kweli kabisa, ninayo mifano kadhaa kuthibitisha hili. Yupo demu mmoja hivi niliingia nae kwenye mahusiano kiana sana, kwenye kamati moja hivi ya harusi ndipo tulipoanzisha uhusiano wetu, alikua anajiheshimu sana so ikanichukua muda kuanzisha mazungumzo nae, siku kadhaa tukakubaliana nae, nilipiga nae show moja ya kibabe sana, nilimpa kiasi Fulani cha pesa, siku nyingine tena na yeye akanionesha utundu wa ajabu sana hasa wakati wa round ya pili, kuanzia hapo tukawa marafiki, siku nyingine sina hili wala lile, si akakodi chumba mwenyewe, akaniita huko, nilijaribu kukataa cause sikua na pesa but akanambia hivi, "I have paid everything, I just need you". Nilikwenda na tukapiga show ya maana tu; mwingine nae alikuaga anapenda sana pesa, baadae nikaona isiwe taabu, nikaachana nae but huaga anajipitisha pitisha, nikiomba game, napewa kama kawaida tu
 
Njoo uchukue degree yako

Bachelor of in truth telling [emoji16]
Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia

[emoji375][emoji375]
 
Hapo ndo unaambiwa mwanamke akikupenda yupo radhi kukupa mtoto ambae sio wako[emoji16]
 
Huwa anakuwa na nyege tu wanakosa pa kuzitolea
 
Sasa umekiri kuwa hata km mmepigika.
Tajiri nikiomba game napewa ili mpate pesa...
Hapo tafsiri yake ni nin??

Km game ninapewa kisa pesa na unataka nikatae pesa haina msaada..


Aah aah dah... Vizazi vya jf bhaana.


Mi shida yangu papuchi... Nakutia pay nabamiza... Izo juhud zingine nazielekeza kwa mke wangu.

We nakutumia tu kwa muda...

Money ni power mama, unasaliti umpendae kisa pesa dadek...

Utakamuliwa saaaana saaana
 
Sawasawa
 
We binti una tabu sana,mwombe mungu akusaidie.
Una mada,thread zaidi ya 8 hapa.
Ukikopwa kopeka,uwe mpole tu bwana unayemtaka hajazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…