Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Hakuna mapenzi siku hizi tusiongopeane utakubaliwa kwa PESA ZAKO TU!
Kweli kabisa mkuu...Mapenzi ya kweli siku hizi ni nadra sana kupatikana na ukimpata mwenye mapenzi ya kweli asiyeendekeza pesa mng'ang'anie mzee...

Hawa wengine wanaoendekeza pesa ni pasua kichwa asikwambie mtu na hii husababisha pale pesa inapoisha KUKUSALITI bila hata hiyana
 
hahaha na kweli wajina ! nashangaa waume hawatup pesa lol
Ahahahaaa wanatabu sana, kuna best yangu mmoja aliniambia yeye akiona mpenzi wake anaanza kufungua wallet ampe pesa basi huwa anapatwa na furaha ya ajabu mno hawezi kuielezea huwa anajikuta anatabasamu la hali ya juu mno hata apewe taarifa ya kusikitisha sura yake haiwezi badilika akili yake yote inazama kwenye wallet yaan anajiskia kusisimka na upendo unaongezeka mara dufu kwa mwenzi wake. Ila asipopewa hela hicho kisirani ni zaidi ya mimba changa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…