Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?




hahahahaahhahhahha jaman uwiii mie nilichoka my frnd aliniambia siku hyo akijua mumewe ana pesa huwa anamzuka hatr wa sex na huwa ' anafika' eti asipokuwa na pesa ht umfanyej hanyegeki jaman huwa nacheka mm dah! kweli nikajua mie bado sana aiseee !dah nimechekaa eti hata apewe taarifa mby .... hahahaha pesa jaman kitu ingine
 
hakuna asiepemda pesa ila sasa kusema kua utapendewa hela hilo napinga wengine tuko na wapenzi hata hawajawah kusikia tukiomba hela zao na hatuna habari ya kuomba
Basi wewe ni mojawapo ya viumbe adimu waliobakia...(KAMA NI KWELI LAKINI)
 
mapenzi yapo ila pesa inatumika kama catalyst......enzi hizo chemistry
 
Pesa ni issue nyingine kabisa, embu jaribu kuchunguza kuna wanaume wabaya sura nzito ngumu hatari ila unakuta wanahela chafu wanawaburuza warembo mijini ni balaa, pesa inafukia mashimo rafiki yangu.
 
Kwani wanawake hatuna uwezo wa kutafuta pesa, labda kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…