Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Hakuna mapenzi siku hizi tusiongopeane utakubaliwa kwa PESA ZAKO TU!
Sio kweli.....wengine umri umeenda hatongozwi, akitongozwa anakubali maana kashachuja na mijitu hii ni kuandiz age ya above 40
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia bora mimi ninaesema ukweli kabisaa kuwa pesa muhimu, maana wanawake wote tunataka pesa ila wengi wanafiki. Atakwambia hataki pesa zako ila ukimpa anapokea, na usipompa kimoyo moyo au kwa mashosti analalamika.
Huo ndio unafiki sasa sitaki nataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…