Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Kwa mfano nikikuoa utanifanyia hivyo baby?
Hapana baby wangu ila nitajitahidi kukushauri utafute pesa kwa udi na uvumba ili nisipate vishawishi huko nje, maana atatokea mwenye sura mbaya mwenye mpunga wa maana atanisababishia nikuvunjie heshima machoni pa watu wa nje na ndani ya nafsi yangu hali ya kuwa mpenzi wangu utajiona wewe ndio wewe kumbe ukweli ni kwamba pesa inakushushia heshima kwa mwenzi wako. Tafuta pesa mpenzi ujenge heshima kwenye familia yako. Hakuna atakaye msumbua mpenzi wako ikiwa kila kitu atakipata kwako ikiwemo pesa.
 
Umeongea vyema Dear ila muda mwingine huwa mnabadilika..kila kitu mnapewa ila mnatugeuka
 
Hakuna mapenzi siku hizi tusiongopeane utakubaliwa kwa PESA ZAKO TU!


Hii naona inawahusu wanaume wa Dar.....kamwe mimi sihongi demu kwa ajili ya gegedo, ninahongwa mimi kuwapa mbegu wao. Mwanamke hatakiwi kuhongwa, ule ni ujinga tu wa wanaume wa DSM.
 
Kuna aina mbili tu za wanawake
1. Wanaopenda pesa.
2. Ambao HAWAJUI kama wanapenda pesa.
Bas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…