Wanaume Mnajua????

Una uhakika unacho kinena? Toa vivid takwimu na si kwa hisia!! Mie wa kwangu namfikisha! Sijui wewe vipi unafikishwa?
 
nani yuko responsible kukufikisha kileleni? mlima upande mwenyewe halafu utegemee kufikishwa?
 
Habari zenu wanaJF,
Kuna jambo ambalo sizani kama wanaume wengi wanalitambua,,Wanawake wengi duniani hawafikii kilele kwa kuingiliwa wakati wanapokua faragha na wapenzi wao,,,Je mnakubaliiiii???

Umejuaje wakati watu wapo faragha? Sema wewe huwa hufikishwi na huyo jamaa yako mkiwa faragha.
 
Wakufika kileleni wawe wengine
Wa kuulizwa wanaume
 
Umejuaje wakati watu wapo faragha? Sema wewe huwa hufikishwi na huyo jamaa yako mkiwa faragha.

Mkuu swali zuri sana hilo kwake..
Ameanika jinsi jamaa yake anavyomtendea kwa faragha.
Kwanza- Anamuingilia
Pili- Hamfikishi kileleni.
Asitegemee fika kama ataingiliwa..Ila wenzake wanaofanya mapenzi hufika kileleni
 
Huyo mwanamke atafikishwa wapi kileleni wakati anapokua kwenye uwanja wa majambos yeye anafikiria IPhone.
 
Habari zenu wanaJF,
Kuna jambo ambalo sizani kama wanaume wengi wanalitambua,,Wanawake wengi duniani hawafikii kilele kwa kuingiliwa wakati wanapokua faragha na wapenzi wao,,,Je mnakubaliiiii???

yeah its true, kuingiliwa ni sehemu ndogo tu, wanawake hufika kileleni hata bila kuingiliwa kama wewe ni fundi uliyefuzu
 
wakiingiliwa kimwili hawafiki
je wakiingiliwa kiroho???

Au wakitokwa kimwili?
 
Naona wengine wameamua kujifanya hawajaelewa,for ur information wanawake wachache wanafika kilele cha "klm" or "Kibo" or wherever you think wanapokutana kimwili kwa hiari ,,,,Most of them fake Orgasm......na wanaume wengi dont knw that,utakuta demu anapiga kelele tu kukuridhisha wewe halafu unajiona kidume kumbe holaaaaaa!!!its fake guys,,,,
 

cheichei01...Nimeipenda kasi yako...Ni kama ya JK au 3g... ni kasi zaidi... Karibu JF...
Join Date : 26th July 2012

Posts : 4
Rep Power : 0

Likes Received 1

Likes Given 0


 

Kweli mkuu wengine hata uhuse kiharage(kinembe) hawasisimki akishikwa kisigino anasisimuka kwa hiyo inabidi uwe mbunifu wakati unamwandaa mwenzio na kuufanyia uchunguzi mwili wa mwenzio eneo lipi anajisikia yupo ulimwengu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…