Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Emoj

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
839
Reaction score
1,304
Najua hamtanielewa ila mwenzangu. Wonderful na akinaatoto watanisaidia hapa kuwatoeni huko.

Kipindi hiki cha uchaguzi hakika nimegundua wanaume mnapenda vya bure sana. Baada ya uchaguzi kuisha mmekuwa ni watu wa kulalamika.

Kulalamika kwenyewe mnalalamika elimu bure,milo mitatu bure, hadi kufika hatua mnasema kuoa itakuwa ngumu,mimba kukataliwa zitaongezeka,Wanaume ni mmelogwa ama? Ni nini hiki mnashadadia vitu vya bure?.

Halafu bila aibu unajiita kamanda, unajua maana ya kamanda?.

Ulipokuwa unazaa watoto wako hukujua itafika siku watahitaji kusoma,hukujua iko siku utataka kuoa then ujipange?

Mungu katubariki Tanzania kuna opportunity za kumwaga,mwanaume unashindwa kuchangamkia fursa?.

Tuna ardhi nzuri mwanaume unashindwa kujikita kwenye kilimo mashamba yenyewe kijijini kukodi kwa mwaka hadi kwa buku kumi unapata?!

Tangu juzi mmekuwa ni watu wa kuandika vitu visivyo na kichwa wala miguu kwenye mitandao kulialia wakati wanawake wako busy kuchakarika na biashara zao.

Mwanaume mzima kweli unalialia? Unasahau uliambiwa utakula kwa jasho?.

Kuna mwingine akasema nahama Tanzania kweli? kisa umekosa vya bure sasa ndo unapata akili ya kuhama nchi wakati hapo mwanzo hata siku moja hukuwahi kucheki nchi gani ya nje ina opportunity ukachakarike huko?.

Serious Wanaume mmekera sana kipindi hiki cha uchaguzi.Mi nilitegemea mabadiliko ambayo yangewasikitisha kuyakosa ni Sera za Act wazalendo sasa mnasikitika milo mitatu? elimu bure?, afya bure,

HEBU WANAUME FANYENI KAZI.
 
Last edited by a moderator:
Kwi! Kwi! Kwi!
Vijana wa siku hizi kulilia tuuuuuuuuu!!!
"asavali"umewawekea uzi labda watachange loh.
Mtoto wa kiume unalialia kama demu, hivi na babako angekua ni mtu wa kulialia wewe ungezaliwa?
Yani mnapenda maisha ya mteremko sana.
Badilikeni otherwise mtaendelea kugongewa na ikibidi hata nyie mtaanza kugongewa soon!!!!!
 
Mods peleka huu uzi kwenye jukwaa la siasa...

Naona unatukumbusha machungu tuu hapa
 
dunia hii wanawake wangekuwa matajir wanaume tungegegeda lami,sasa kwani sisi kuitegemea serikali yetu kosa ni nn:what: tunatimiza wajibu wetu ktk serikali yetu so kupewa haki zetu km raia wawajibikaji pia ni haki yetu,kwani uliambiwa serikali ni ya akina kinana tuu
 
Kumbe wewe mwanamke una kichaa kuna muda kinapanda kuna muda unakua sawa ila hakiponi

Ungekua mke wangu mtarajiwa ningekuacha au ningekua nimekuoa ningechepuka hadi uombe talaka

Hivi watu wanaoishi mijini au wanaokaa vijiji wengi wapo wapi ?
Hivi unafikiri watakaoisoma namba ni watu wa wapi wa mjini su vijijini ?

Mi mwanangu hawezi kusoma shule ya serikali hata kidogo najua jinsi zilivyo tulichokua tunapigania ni wenzetu wanaopata mlo mmoja kwa siku wasomeshewe watoto wao buree ndio maana humu kelele za mikopo haziishi wewe sijui hata kama ulienda shule

Mwanamke kilaza hutengeneza jamii ya vilaza
 

Si walikuwa wanashabikiaa kusema wataisoma nambaa wajinga walee... badala ya kusema tutaisoma namba wajinga sisi miaka 54 bado tunadanganywa na tunakubali. Na badoo mbona mtakumbukaaa na kujutia kura sare ya kijani uliipeleka ya nini. Pambaafuu...
 
Last edited by a moderator:
Wanawake pia mfanye kazi sio kusubiri kuletewa kufanya batter trade...
Hela za kusuka na nguo unavadilishana na sex
 
Niwapi huko wanakodi shamba kwa buku kumi nichangamkie fursa?
 


Sema 'baadhi ya wanaume'................................
 
Hawa wanamake kama wewe ndio ccm inaendelea kuwatumia miaka nenda rudi kuendelea kuwaibia watanzania kwa mawazo mgando yenu kama haya.
 
Emoj kwani wewe huwa wanakutomber bure?!! Tatizo unajirahisi halafu unashindwa kusema unataka shngapi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…