mkuu hiki ndicho kipindi, dadaz wanakuwanga calm, na wapole balaa,wanajua unaweza ukafanya ujinga mda sio mrefuu, mara simu yako screen ya smart haifanyi kazi, system chaji, inasumbua, yani wapole balaa
√√kuomba samahani kila mda kitu kidogo tuu, wanaume sio wa mchezo mchezo kipindi hikii