Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

ok, xawa
 
UGOMVI WETU WA JUZI NDO UNAUHAMISHIA HUMU?

Moderator samahani huu uzi una nihusu mimi na wala siyo mtu mwingine, wana JF huyu mwanamke amenitumia mimi maksudi ili niumie na mipasho, anavituko sana, asubuhi amenifungulia muziki wa rusha roho ya kilokole, kelele mpaka nyumba ya pili, anadai hela za kumtibia mtoto eti alilipa mama yake amenikaba shati kabisa, Miss zomboko ndiyo aliingilia kati na ni shahidi wa vituko vyake, manake tunaishi jirani hivi

Ili iweje sasa? unadhani hao JF ni wajinga hawaelewi kinacho endelea. unatafuta pa kusemea kama ni hela ulizozoea sikupi tena zako unapeleka wapi wakati tunafanya kazi wote, JF hukuijua mimi ndo nimekufundisha kila kitu hata kutype hukujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…