[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukifunguliwa twende wote kuhakiki
Chambaaaaa Kama beberu DA Jane.
Sema nasikia kuna member wawili ni mahandsome (kutokana na comments za wadau) sasa usumbufu ukazidi kwa kutongozwa ikabidi wafunge pm (Mimi naomba wanifungulie nihakikishe).
Sawa.. Ntawashtua japo inasemekana wanawezekana wamebadili ID pia kuepuka usumbufu wetu. Mmoja anaitwa Stunner nini sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukifunguliwa twende wote kuhakiki
Msinisahau na mm
Sawa.. Ntawashtua japo inasemekana wanawezekana wamebadili ID pia kuepuka usumbufu wetu. Mmoja anaitwa Stunner nini sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawe umoMsinisahau na mm
Niliona huku bwana. Kuna Uzi walitajwaHahahah mpaka majina ulipewa dada
Hahahaaa sasa walijuaje jmn au walijitangaza wenyeweSawa.. Ntawashtua japo inasemekana wanawezekana wamebadili ID pia kuepuka usumbufu wetu. Mmoja anaitwa Stunner nini sijui
aaaaah insta babe mtu kama mleta mada PM wa nn sindio yaleyale ya bangkok 😂😂😂😂Ebu fungueni pm jamani
Hapo ndo na Mimi sijawahi elewa. Ngoja tusubiri muongozo kwa members wa siku nyingi.Hahahaaa sasa walijuaje jmn au walijitangaza wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawe umo
Niliona huku bwana. Kuna Uzi walitajwa
aaaaah insta babe mtu kama mleta mada PM wa nn sindio yaleyale ya bangkok [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya wacha tuvute subiraHapo ndo na Mimi sijawahi elewa. Ngoja tusubiri muongozo kwa members wa siku nyingi.
Kuna uwezekano mtu amekukula papuchi alafu akaki block maana hujakidhi viwango.Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.
Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.
Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki....unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.
Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.
Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.
Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.
Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
Watanitapeli kwa kupitia nguvu ya ushawishi wao!Utatapeliwa vipi sababu ya pm mtu hakujui jamani
Hahahahaa na kweli maana kuwa handsome nako kWakunyumba si tuhakikishe uo uhandsome jamani
Kama sijakosea nahisi ni wewe, nahitaji kukuuliza kitu kuhusu Freelance. Kama hutojali nakuomba pmKuna uwezekano mtu amekukula papuchi alafu akaki block maana hujakidhi viwango.
Ipo wazi njoo ila ujiaandae kisaikolojiaWe yako iko wazi nije kuomba hela
Itakua watu walisambaza picha zao hao mahandsome.Sasa wao wameona wanasumbuliwa kilichowafanya wawatumie picha ni nini
Watanitapeli kwa kupitia nguvu ya ushawishi wao!