Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI