Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Wengine wana nyumba ndogo hao, mpira wanausingizia tu.Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume HV kuna nn kitamu kwenye kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imegungwa km mwezi mmoja uliopita HV but bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hv mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?!
BADILIKENI WAJAMENI
Kwa upande wangu mimi nilianza kuupenda mpira kabla hata mke wangu hanifahamu, so hana cha kunipangia kuhusu mpiraHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume HV kuna nn kitamu kwenye kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!