Wanaume mnaovaa pensi

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Za jioni

Wanaume mnao vaa pensi saluti kwenu kwanza mna pendeza Sana na zaidi mupo romantic. Kwa hilo nawasifia

Ninyi mnavaa malonyalonya ya mtumba mnavaa suruali pangilieni nguo halafu msisahau kutumia manukato mazuri acheni kupaka manukato ya kike na mnaojikoboa ninyi wanaume acheni mara moja mnakuwa warembo
 
WEWE NI KE AU ME?
 
Kama una jinsia ya kiume, basi mzee wako ahesabie tu hasara.
 
Wanaovaa pensi wanajishebedua,pensi zimeingiliwa na kakikundi flani hivi kameharibu maana nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…