Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wapo wanume wengi duniani hawana uchungu na wake zao...na tatizo kubwa linakuja pale mwanaume anapojua kiasi cha mwenzake ni kikubwa mara dufu yake...wapo ambao kwa namna moja niseme mapepo,,ama tabia...wake zao wakiweka pesa vyumbani gafla akirudi anakuta tofauti ya ajabu...wapo wanaokubali wamechukua lakini leo hii ntaongelea wale wasiokubali
hivi wewe ndugu unaesoma hapa kama unahusika kai ya haya kumwibia mkeo unajisikiaje...mi nacheka sana nashangaa hata kama mkeo ana pesa ujui ni zako?????ama ndio nyie mnachukua kwa wake zenu mnaenda tengeneza kwenu...no tuwe wastaarabu jamani...kupata mwanamke mwenye kipato ni baraka kwa mungu usimtumie kama asset!!!!ni vizuri ukiwa una shida mweleze mkeo naitaji kiasi hiki kama anazo atasema na kama ana mpago mwingine na anazo atakwambia mnashauriana.....iweje nyumba moja chumba kimoja....mnaibiana,,najua wapo watakaokuja kusema alimtunzia ...mmmhh .....ila ni vizuri si lazima usubiri mpaka mkeo aje akuulize..kama umechukua akiwa ayupo akirudi mwite mkalishe .....lete juice ya alovera mpge kisi mwambi mke wangu leo umechoka utasema umetoka same kwenye maafa....akianza kucheka cheka nae nikimaanisha muunganishie ulichochukua na kwa shida gani...nakwambia atajibu dont worry darling...ila si anajibu hivyo kesho inakuwa mchezo wa comedy...aah ...ukiwa na mwanamke kama huyo mwambie mungu akupe ufahamu....wa maendele...kama mnaishi sinza chumba kimoja ndio wakati wake hny jamani tutengeneze kabox tuweke hela za kiwanja......baadae mnatengeneza chumba chenu kimoja viwili mnaamia huku mkiendelea....jamani mapenzi raha mapenzi sio pesa,,,pesa majaliwa....basi ndugu yangu ukipewa usimamie na ujenzi sio unafanya sehemu ya kupigia mizinga oooohhh cemnt zimeisha kumbe ziko kwa jirani...unasubiri kuuza ama ujanunua kabisa...acha nasema acheni...tengenezeni njia ya maendeleo kwenye familia zenu....hata kama anazo pesa hizo ni zake bado mwanaume una mamlaka.....
Kila la kheri